Isalimie Badoo mpya

Badoo ni nini

Mtandao mkubwa zaidi duniani wa kutafuta wapenzi unakuwezesha kukutana na watu wapya wakati wowote na popote ulipo *

Dhamira

Kwa teknolojia isiyo na mfano, tunataka kurahisishia kupata mtu atakayefanya moyo wako uende mbio

Maadili
 • Raha

  Daima chagua njia safi inayofurahisha

 • Inayojumlisha

  App ya dating iliyo wazi kwa wote

 • Shupavu

  Tunajivunia tulipoweza kufikia na tunayofanya

 • Anayeaminika

  Tupo salama na thabiti

Pakua Biblia ya Bidhaa
Inayofuata - Nini Badoo Inayofuata - Dhamira Inayofuata - Maadili
Utambulisho

Ikoni ya App

Pana, inayong'aa, yenye kuonekana na yenye sifa, ikoni hii ni rahisi kuonekena na inafahamika hapo hapo. Kwa kutumia rangi zinazovutia pamoja na alama ya moyo iliyo nzuri na safi kidole chako kitataka kubofya tu.

Pakua Kitabu cha Bidhaa
Inayofuata - Nembo Inayofuata - Ikoni ya App Inayofuata - Njia za Kijamii
Encounters
Bidhaa

Encounters

Inawasogeza watu kuwa karibu zaidi. Kwa kuwa na chaguo tunaweza kukusogeza karibu na unachotafuta. Weka filta na fanya mtelezo kuendana na wale wanaokuvutia. Unaweza pia kutuma zawadi maalum na kuwapenda wale unaowapenda sana.

Pakua sasa:
Bidhaa

Watu walio karibu

Kutoka kwenye kisiwa cha mbali kabisa hadi mji wenye harakati nyingi, daima kuna watu wapya karibu wa kukutana nao Badoo. Weka eneo lako, amua umbali na anza kukutana na watu unaotaka kukutana nao. Tupia macho tena na tena kuna mengi mazuri yanakuja.

Pakua sasa:
Encounters
Bidhaa

Miunganisho

Ujumbe wako wote, matembezi, upendayo na vipenzi vimeunganishwa na kuwa sehemu moja rahisi.

Pakua sasa:
Miunganisho
Bidhaa

Sogoa

Sio tu kwamba unaweza kutuma ujumbe wa kufurahisha ili kuwafahamu wengine vizuri Zaidi, lakini pia unaweza kutuma stika, zawadi na hata kupiga simu ya video.

Pakua sasa:
Sogoa
Pakua Faili la Vyombo vya Habari
Inayofuata - Encounters Inayofuata - Watu walio karibu Inayofuata - Kuunganisha Inayofuata - Sogoa
Imefanikiwa kutumwa
Kosa, tafadhali jaribu tena