Habari zote

Kuhusu Badoo

Badoo ni mtandao mkubwa zaidi duniani wa dating wenye zaidi ya milioni 345 ya watumiajikatikanchi 190na inapatikana katikalugha 47

Badoo inatoka teknolojia bora Zaidi kwa watu kukutana, kwa sababu furaha ni watu. Kila siku Zaidi ya watu 400,000 hujiunga na Badoo, Zaidi ya ujumbe milioni 350 hutumwa na picha milioni 10 huongezwa kwenye jukwaa.

Watumiaji wetu wanatumia wastani wa masaa 1.8 kila siku kwenye starehe ya Badoo, hii ni kwa jumla ya kura bilioni 12 kwa siku. Badoo pia inashughulikia leseni za white label kwa bidhaa tofauti za kimataifa. Kwa taarifa zaidipress@team.badoo.com